WAZUNGU WAMEFIKA TANZANIA
Sisi tunatoka Ubelgiji. Ubelgiji ni nchi nzuri sana katika Ulaya.
Tukilinganisha kwa ukubwa Ubelgiji na Tanzania ni kama panya na tembo. Ubeliji ilikuwa ndogo sana kwa hiyo tuliamua kuja Tanzania. Tungependa kwendelea na ulinganishi huu.
Tutalinganisha Ubelgiji na Tanzania kwa mazingira watu na jamii.
Kwanza tutaleza kukusu mazingira twendeni kwenye matembezi. Tukitembea hapa mpaka maktaba Imbaseni tutaona vituvingi. Migomba ya hapa Meru kwa numba ni kama taa za barabarani kule kwetu. Takijumlisha mbuzi na njombe wanajaa barabara kama magari mjumbani.
Pia pia, ikiwaka kwa siku moja Nogongongare ina ngvu ya nuru ya jua. Ya mwezi moja katika Ubelgiji, ya ani kipindi cha joto.
Urefuwa mlima mkubwa sana katika Ubelgiji ni kama mlima cha Sakila hapa.
Pamoja na mazingira tunaweza kulinganisha watanzania na wabelgiji. Wanawake na bongo huvaa kanga za rangi mbalimbali. Lakine wanaume wa Ubelgiji huvaa sutiza rangi nyeusi nyesir. Kwa wanafunzi wa Tanzania huvaa sare za shule ambazoni za rangi moja mbili. Hasha wanafunzi wa kwetu wanarusiwi kuvaa zozote.
Hatimaye ulinganishe huu inafika kwenye janii. Basi katika Ibelgiji zina nafasi kwa watu bisini tisa pia kwa kawaidai hwondoka kwenye saa flani hatu kama inejaa mtu mmoja. Tumejifunza hapa daladala haiendi sehemu hata kama watu wamezidi viti.
Katika safari yetu Tanzania tumefunsishwa sana ninyi. Mmetufundisha vitu vingi vile vile kinatumaini mmejifunza pia. Tutarudi nyumbani na mizigo ilyo jaa na nguo chafu lakini mioyo yetu imejaa na kumbu kumbu nzuri.
Sasa ivy na hapa hapa tunependa Tanzania.
Asenteni !
Many thanks!
Bedankbrief van de directrice van Ngongongare!
woensdag 24 september 2008
Abonneren op:
Reacties posten (Atom)
Geen opmerkingen:
Een reactie posten